Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha uangalizi Maalum ICU katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza. 

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan afariki dunia
Dkt. Bashiru: Wafuata vyeo hatuwataki CCM