Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika mazishi ya dada yake Monica Magufuli yaliyofanyika nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.

Wagonjwa 19 wanufaika na matibabu ya Figo
Basi la Kidia One lateketea kwa moto