Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepanda ndege ya Rais tayari kuelekea jijini Harare, Zimbabwe, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Emmerson Dambudzo Mnangagwa zinazofanyika leo Jumapili Agosti 26, 2018

JNIA yapiga marufuku wagonjwa wa Ebola kuingia nchini
Mchezaji kutoka Brazil ajiunga na Al- Shabaab