Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameambatana na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai na baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wamemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Khamis Kigwangalla kwa lengo la kumjulia hali katika Hospitali ya Taifa ya Muhumbili alikolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari.

Dkt. Kalemani awataka Wakandarasi kutobagua nyumba za Tembe
Ngome ya Mbowe yazidi kumong'onyoka

Comments

comments