Wachezaji wote wa Simba msimu wa 2018/19 wamekabidhiwa tuzo kila mmoja kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa mmoja mmoja katika klabu.