Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani, wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo   walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo   walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo   walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na baadhi ya  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo  walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais Samia afanya Uteuzi
Wafugaji kuanza kuvuna mifugo kwa tija