Mwanamitindo na mjasiliamali, Hamisa Mobetto ametii amri ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ambayo ilimtaka kuomba radhi kwa umma juu ya ukiukaji wa maudhui ya mtandao mara baada ya kurusha picha zake za utupu mtandaoni zenye tafsiri ya kupotosha umma.

Kamati ya maudhui ya mtandaoni TCRA imemtaka mwanamitindo hiyo kuomba radhi kwa umma na kutoa elimu kwa mashabiki wake wanaopenda kutumia picha zake kurusha mtandaoni.

Hivyo kupitia ukurasa wake Mobetto ameomba radhi na kuandika hivi.

 

 

Tanzia: Baba mzazi wa Mama Salma Kikwete afariki dunia
Aliemuonyesha kadi nyekundu Zidane aeleza alivyopata tabu kutoa maamuzi

Comments

comments