Hayati Aboud Jumbe ndiye aliyeanzisha mchakato wa matayarisho ya kuundwa kwa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, mchakato ulioanza 1979 ukijumuisha mambo ya msingi kama haki za binadamu, utawala bora na uhuru wa kutoa maoni.

Katiba hiyo ndiyo iliyounda Baraza la Wakilishi Januari 13, 1980 na kuwa chombo muhimu cha kuwasikiliza na kuwasilisha maoni ya Wananchi. Pia Katiba hiyo iliimarisha mhimili wa dola wa Mahakamani na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata haki zao za msingi bila kuingiliwa na yeyote.

Makonda kuiombea Kigamboni jengo lililoachwa na Hayati Aboud Jumbe
Man Utd, Arsenal watoshana misuli, Mourinho aendeleza 'mwiko' wake