Helikopta ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na Kiongozi wa Chama cha upinzani nchini Kenya cha ODM, Raila Odinga imepata ajali muda mfupi tu baada ya kumshusha yeye na wasaidizi wake eneo la Gem, Siaya, Kenya.

Taarifa ya Citizen TV imeeleza kuwa hata hivyo rubani na abiria wengine wanne waliokuwemo ndani yake wametoka salama ila wamepata majeraha madogo.

Vikwazo 34 biashara 'out'
Watakaochomwa chanjo ya Corona kupewa donge nono