Hoteli tano mfululizo zilizopi Jambiani, Zanzibar zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Hoteli hizo ni Villa de Coco, Sharazad, Spice Island, fun beach na Cobe.

Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaja na Suluhu mabadiliko ya tabia nchi
Habari kubwa kwenye magazeti ya leo Novemba 20, 2021