Iceland iliiadhibu Austria mabao mawili kwa moja na sasa watakutana na England. Mtangazaji wa mpira kutoka Iceland alishindwa kujizuia pale ambapo Arnor Ingvi alizitikisa nyavu katika dakika za majeruhi.

Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang’anya kipaza sauti na kukitupa mtoni

Wakimbizi 200 wa Boko Haram Wafa Kwa njaa Nigeria
Wabunge Marekani wakaa ‘sakafuni’ kususia Bunge, wadai sheria kali umiliki silaha