Leo Oktoba 19, 2016 imesambaa taarifa ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Kufuatia taarifa hiyo, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa hiyo akieleza kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli imetengenezwa na waharifu hivyo amewataka wananchi kuipuuza.

img_20161019_140328_451

Video: Mbunge Godbless Lema asimamisha hotuba ya DC Gambo

Video: Majaliwa apokea msaada wa mabati 100 kwa ajili ya hospitali Ruangwa
Mwamuzi Anthony Taylor Amponza Jose Mourinho