Islamic State wamedukua mitandao ya Serikali katika jimbo la Ohio nchini Marekani na kutoa ujumbe wenye vitisho kwa Rais wa nchi hiyo Donald Trump.

Aidha, udukuzi huo unadaiwa kufanywa na kundi moja linalojiita Team System DZ ambalo pia limedukua nyaraka muhimu za Gavana wa jimbo la Ohio, John Kosich.

Hata hivyo, ujumbe huo wa vitisho ambao ulikuwa umeandikwa kwa maneno ya Kiarabu ulisomeka kuwa,” Donald Trump atawajibika kwa kila tone la damu linalomwagika kwenye nchi za Kiislam naipenda Islamic State”

 

 

 

Diamond kuwapa Watanzania ‘kitu’ kwa shilingi 300
Magazeti ya Tanzania leo Juni 26, 2017