Mrembo wa Tanzania, Jackie Cliff ambaye amefungwa gerezani nchini China baada ya kukamatwa akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini humo, ameandika barua ya wazi kwa watanzania wote akieleza yaliyoko moyoni mwake.

Jackie ameeleza mengi yanayozungumzwa nchini, hali yake katika gereza hilo, yanayomsibu pamoja na anavyomchukulia mpenzi wake, Jux.

Barua hiyo ilisomwa na na Millard Ayo kwenye kipindi cha Amplifaya. Msikilize hapa:

Sakata la Zanzibar lamponza Lissu, Ahojiwa na Polisi saa nzima
Admin wa Facebook akamatwa kwa kuandika haya kuhusu wake za watu