Kiswahili ni lugha ngumu, angalia tafsiri ya maneno haya yanayotumika katika teknolojia ya simu.

Anza kwa kutoa tafsiri ya neno hili la kingereza kuwa kiswahili,

1.Mobile phone-

2.Kundi sogozi- Chatting group

3. Sikanu- Smartphone

4. Kitumi- Device

5. Maunzi laini- Software

6. Kiungo- Link

7. Kusanidi- Install

8. Mtaliga- Virus

9. Neno Msingi- Keyword

10. Puku- Mouse

11. Baobonye- Keyboard

12. Kiwanba gusa- Touch Screen

13. Makavazi- Archives

14. Mkondoni- Online

15. Pakua- Download.

Israel yatoa mwaliko kwa Watanzania, yawataka wananchi kutembelea nchi hiyo
Liverpool kumng'oa Chamberlain Arsenal

Comments

comments