Mawazo, Kuwa na pesa zisizokuwa na malengo, Kukosa kazi za kufanya, Pombe kuuzwa bei rahisi na sababu nyingine nyingi zimetajwa kuwafanya wanywe kupindukia

Vijana hawa wamezungumza kupitia kipindi cha On The Bench cha Dar24 Media katika majadiliano kutoka eneo la Vingunguti Mtambani.

Tazama Video hii utapata kujua nini kifanyike wao wenyewe vijana wakiemba mbinu tofauti na kutamani kukombolewa kutoka janga hili la pombe zilizokithiri.

Gari lililozama Baharini Polisi wazungumza
Z-Anto: Najipanga kurudi kwa Kasi