Baada ya kuambulia kichapo cha penati nne kwa mbili katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mapinduzi, afisa habari wa klabu ya Young Africans anaetumikia adhabu ya kufungiwa na TFF Jerry Muro, amewapiga kijembe mashabiki na wanachama wa Simba.

Muro amerusha kijembe hicho kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuandika ‘Sikilizeni nyinyi…Bora hata Simba mmeshinda, maana mlivyo watata mngeweza hata vunja Muungano’.

screen-shot-2017-01-11-at-10-00-41-am

Gambo ataka busara itumike utekelezaji agizo la Waziri Mkuu
Masau Bwire Awapongeza Simba SC

Comments

comments