Mji wa Rome ulioko nchini Italy umechaguliwa kuwa wenyeji wa michuano ya gofu ya Ryder cup ya mwaka 2022.

Michuano hiyop itakua ya 44 kufanyika huku michuano hiyo ikifanyika kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Italia. Mashindo hayo yamekuwa yakifanyika kati ya ulaya na Marekani.

Michuano hii imefanyika nje ya bara la Ulaya mara tano tu kwa miji ya Muirfield 1973, Gleneagles Scotland mwaka 2014, Hispania mwaka 1997, Jamhuri ya Ireland 2006 na Wales 2010.

Italia imetwaa nafasi hiyo baada ya kuzishinda za Austria, Ujerumani na Hispania katika zabuni ya kusaka nafasi hiyo.

Joh Makini: Tusiamini Katika Kuwashirikisha Wasanii Wa Kimataifa Kuwa Wa Kimataifa
Pavel Nedved Aivusha Juventus Ligi Ya mabingwa Barani Ulaya