Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Zesco na Nkana anayekipiga El Gouna Idriss Mbonbo (25) sasa rasmi ni mali ya Azam FC.

Mpaka kufikia 24 May 2020 Idris Mbombo alifungia Nkana magoli 37 katika mechi 57. Msimu wa 2019 alicheza mechi 34 na kufunga magoli 21 akawa mfungaji bora na mchezaji bora wa ligi. Msimu wa kwanza ligi kuu akiwa na Kabwe FC alifunga magoli 20, baadae akafunga 15 akiwa na Zesco.✔️

Kwenye kurasa za mitandao ya kijamii za Azam FC kuna swali limeelekezwa kwa mashabiki wa klabu hiyo likiuliza ‘TUMCHUKUE?’

Nu dhahir linamlenga Idriss Mbonbo. Kikubwa ni kusubiri na kuona utambulisho wa Idriss Mbonbo.

HESLB yampongeza Rais Samia
Young Africans yamtema Ntibazonkiza, auchana uongozi