Kuna taarifa kuwa klabu ya soka ya West Ham ipo mbioni kumnasa beki nguli na Nahodha wa klabu ya soka ya Chelsea John Terry katika klabu yake katika majira ya kiangazi.

Klabu ya West Ham inataka kuchukua kumpa mkataba mchezaji huyo baada ya kuona klabu yake kushindwa kumuongezea mkataba mpya mchezaji huyo katika kipindi kingine ndani ya klabu hiyo.

Pamoja na klabu hiyo kutaka kumchukua mchezaji huyo ndani ya klabu hiyo lakini inataka kumchukua mchezaji huyo ikiwa na lengo la kuona kuwa mchezaji huyo Terry kuwa na uzoefu katika Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Waziri Mkuu Ampiga Kijembe Jamal Malinzi
Alvaro Morata Amfagilia Robert Lewandowski