Mwanamitindo Jokate Mwegeleo amemuandikia Ali Kiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.

Jokate ambaye ni mtu wa karibu wa King Kiba amemsifia msanii huyo akiichambua show yake aliyoifanya usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Media Group.

Kupitia Instagram, Jokate ameeleza jinsi alivyoguswa na show hiyo akimtaka aendelee na mwendo huo huku akidai kwa hapa nchini hakuna anayeshindana naye.

Mrembo huyo amemshauri kuchukua mfano wa msanii wa Nigeria, Wizkid kufanya kile anachokiamini bila kujali anashindanishwa na watu gani.

Hivi ndivyo alivyoandika:

 Komando Kipensi @officialalikiba kwanza thank you for trusting me and @noelgiotz to style you for Fiesta- tulielewa how important this day is to you and I’m glad we made it ??. It was fun creating this iconic look, you made it easy though I mean your body is just perfect and the way you carry yourself with so much class and honor you just gave this outfit the life and sophistication it needed. Style yako ya mavazi ni ya kipekee, hugezi mtu unatengeneza yako kama unavyofanya na mziki wako, ni halisi. Sasa mimi napenda kuongea nikiguswa, sio kama AK ila baada ya kuona ulichofanya jana kwenye stage ya fiesta ( umeimba live na band kwenye umati mkubwa vile kwa ustadi mkubwa kabisa mpaka watu wakashtuka maana you were simply perfect ) naomba kusema tu wewe hushindani na yoyote hapa Tanzania, kuanzia ladha yako ya mziki unaotengeneza mpaka sauti yako – tena huko kwenye sauti naomba nisiongee maana sitaki upasuke bichwa lako lol ila kuna kitu cha kipekee kwenye sauti yako, you are “The Voice”. Kila siku unakuwa bora zaidi yaani labda nikufananishe na Beyonce kimziki- usiniue lakini ?. Ukitaka you can dance, you can sing tena live sauti cleeeear haina mikwaruzo, you can rap, unaeeza igiza uchizi yaani you are just perfect kama mwanamuziki. Kama hujui leo ujue. Nakuombea siku mmoja dunia nzima iweze kufurahia hiki kipaji adhimu kutoka kwako. Unajua kuna tofauti ya kuimba wimbo au kusikiliza wimbo tu kama burudani na kusikiliza kitu kinachokuinua spiritually. Kitu kinagusa roho yako. Nikisikia Aje, Mwana, My Everything, Mali yangu hata kama nina mood mbaya vipi my soul becomes happy yaani naturally. You are a gem na utafika tu. Huu mwendo wako huu huu ndio poa. Wasikuchanganye. Nikiangalia mfano wa Wizkid yeye anafanya mziki wake, focus yake niyeye na fans wake na ndio maana yuko alipo licha ya kushindanishwa na watu kutwa nzima. Blood fans wa AK najua mko nae tumlazimishe huyu kijana afanye tour nchi nzima pekee yake labda ?. Haya mambo ni makubwa wallahy. All in all I’m very proud of you na your journey of growth and WTH man start giving me credit on the lyrics I help you with ?. Hongera @cloudsfmtz kwa show nzuri na kwa wasanii wote ️#Kajiandae #KingKiba #Kidoti

Komando Kipensi @officialalikiba kwanza thank you for trusting me and @noelgiotz to style you for Fiesta- tulielewa how important this day is to you and I’m glad we made it ??. It was fun creating this iconic look, you made it easy though I mean your body is just perfect and the way you carry yourself with so much class and honor you just gave this outfit the life and sophistication it needed. Style yako ya mavazi ni ya kipekee, hugezi mtu unatengeneza yako kama unavyofanya na mziki wako, ni halisi. Sasa mimi napenda kuongea nikiguswa, sio kama AK ila baada ya kuona ulichofanya jana kwenye stage ya fiesta ( umeimba live na band kwenye umati mkubwa vile kwa ustadi mkubwa kabisa mpaka watu wakashtuka maana you were simply perfect ) naomba kusema tu wewe hushindani na yoyote hapa Tanzania, kuanzia ladha yako ya mziki unaotengeneza mpaka sauti yako – tena huko kwenye sauti naomba nisiongee maana sitaki upasuke bichwa lako lol ila kuna kitu cha kipekee kwenye sauti yako, you are “The Voice”. Kila siku unakuwa bora zaidi yaani labda nikufananishe na Beyonce kimziki- usiniue lakini ?. Ukitaka you can dance, you can sing tena live sauti cleeeear haina mikwaruzo, you can rap, unaeeza igiza uchizi yaani you are just perfect kama mwanamuziki. Kama hujui leo ujue. Nakuombea siku mmoja dunia nzima iweze kufurahia hiki kipaji adhimu kutoka kwako. Unajua kuna tofauti ya kuimba wimbo au kusikiliza wimbo tu kama burudani na kusikiliza kitu kinachokuinua spiritually. Kitu kinagusa roho yako. Nikisikia Aje, Mwana, My Everything, Mali yangu hata kama nina mood mbaya vipi my soul becomes happy yaani naturally. You are a gem na utafika tu. Huu mwendo wako huu huu ndio poa. Wasikuchanganye. Nikiangalia mfano wa Wizkid yeye anafanya mziki wake, focus yake niyeye na fans wake na ndio maana yuko alipo licha ya kushindanishwa na watu kutwa nzima. Blood fans wa AK najua mko nae tumlazimishe huyu kijana afanye tour nchi nzima pekee yake labda ?. Haya mambo ni makubwa wallahy. All in all I’m very proud of you na your journey of growth and WTH man start giving me credit on the lyrics I help you with ?. Hongera @cloudsfmtz kwa show nzuri na kwa wasanii wote ❤️#Kajiandae #KingKiba #Kidoti

A photo posted by Jokate Mwegelo (@jokatemwegelo) on

Video: Makonda kujenga vituo ishirini vya polisi jijini Dar
Mwanaume mwenye bunduki azua taharuki nje ya Ikulu ya Marekani