Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Tixon Tuliangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) – anayeshughulikia Elimu.

Tixon Nzunda ameteuliwa kuchukuwa nafasi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI – akishughulikia Elimu, Bernard Makali ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa.

Kabla ya uteuzi huo, Tixon Nzunda alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa.

?LIVE IKULU: Rais Magufuli akipokea ripoti uchunguza wa mchanga wa madini (Makinikia)
Video: Siku 313 vigogo NSSF wanakula mshahara bure, Hukumu mchanga wa dhahabu leo