Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Edward Mpogolo kuwa mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Edward ambaye alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Dodoma, anachukua nafasi ya Miraji Mtaturu ambaye amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki.

Video: Waandishi wa habari acheni kuchokonoa chokonoa, mtatuharibia- Warrace Karia
Huwezi kukihujumu chama ukabaki salama- Waitara