Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA).

Uteuzi Huu unaanza Leo Tarehe 07 Julai 2018.

Video: Waziri Lugola amchimbua Lissu, Hazina tunayojivunia
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 7, 2018

Comments

comments