Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP).

Kabla ya uteuzi huo, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam.

Sirro ameteuliwa kuchukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.

 

Boni Love Awatofautisha watangazaji wa sasa na enzi zile, amtaja anaekuja vizuri
Video: Siku ya mazingira duniani kuadhimishwa kwa kupanda miti