Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Steven Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha mwalimu Nyerere nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Mark Mwandosya.

Aidha, wakati huo huo Rais Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Festus Bulugu kuwa mwenyekiti wa baraza la uwekezaji la wananchi kiuchumi.

Dkt. Limbu anachukua nafasi ya Dkt. John Jungu ambaye amekuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya, Jinsia Wazee na Watoto.

 

Video: Lissu namsubiri Rais Magufuli, Dalali wa Mihogo chupuchupu kuuawa na Kiboko
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 9, 2018

Comments

comments