Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa balozi wa Tanzania nchini Canada na kumrejesha nyumbani, Alphayo Kidata.

Uamuzi huo umeanza tarehe 5 Novemba 2018, ambapo Kidata amevuliwa nyadhifa zote za kazi na kuwa raia wa kawaida.

Bailly atajwa kikosi cha Ivory Coast
Kaburi la watu wengi lagundulika nchini Ethiopia

Comments

comments