Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corparation- NHC), Blandina Nyoni na kuvunja bodi hiyo kuanzia leo.

Aidha, katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema kuwa uteuzi wa Mwenyekiti mwingine na bodi nyingine utafanyika hapo baadae.

Ronda Rousey afunguka kuhusu kipigo kilichomtoa UFC
Video: Lissu ataja wanaomtibia Ubelgiji, IGP ashtakiwa mahakamani...