Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli yupo Mkoani Geita pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli ambapo leo Julai 16, 2017 wameshiriki ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato. Rais Dkt. Magufuli pia ameendesha harambee ya ujenzi wa kanisa hilo. Tazama hapa picha

1 (2)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri  Henry Mulinganisa  wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017

1 (3) 1 (4)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017

1 (5)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Bi Janeth Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017

1 (6)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali  waliohudhuria ibada katika kanisa la Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita Leo 16 julai 2017

1 (7)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo leo Julai 16, 2017

1 (9)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita .

1 (10)

Mama Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita .

1 (14)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akishuhudia  mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita

1 (15)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru  mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita

1 (17)

1 (21)

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiondoka kwenye kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita, mara baada ya ibada.

1 (22)

Waumini wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita wakimpungia mikono Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli wakati akiondoka kanisani hapo.

1 (23)1 (24)

Katibu wa Rais Ndugu Ngusa Samike akikabidhi mchango wa Mhe Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli jumla ya shilingi milioni kumi kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa  kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita,

1 (26)

Waumini wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita wakiwa kwenye ibada

1 (29)

Waumini wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita wakitoka kwenye ibada ya jumapili.

Waziri Mkuu Majaliwa akabidhi rambirambi kwa Dkt. Mwakyembe
Prof. Mbarawa amuweka kitimoto mkandarasi Tabora