RAIS John Magufuli leo Julai 3, 2020 ameteua wakuu wa mikoa miwili ambapo  Dkt. Philemon Sengati anakuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora,  na Thobias Andengenye  mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Wateule hao wanachukua nafasi za Aggrey Mwanri na Brig. Jen Emmanuel Maganga ambao wamestaafu.

Toto Africans yaomba huruma TFF, TPLB
Sahare All Stars: Tutafanya maajabu ASFC