Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.

Mtatiro anachukua nafasi ya Juma Zuberi Homera ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Katavi.

Uteuzi huo wa Julius Mtatiro unaanza leo tarehe 14 Julai 2019.

Mtatiro ndiye DC mpya wa Tunduru, fahamu njia alizopita na kupata 'shavu'
Yondani kukabidhiwa mikoba ya Ajibu #TetesizaSoka

Comments

comments