Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, imepokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo.

Kikao hicho, kimefanyika hii leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge zilizopo jijini Dodoma, na zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali wakati wa kikao hicho.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga akifungua kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Abdallah Hassan Mitawi akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba akifafanua hoja wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakiwa katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, hii leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 12, 2023
Balozi Kombo awasilisha hati za utambulisho nchini Malta