Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imeamriwa kumchunguza na kumhoji Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka kuhusu kauli yake inayosemakana kuidhalilisha Bunge.

Ambapo Spika wa Bunge Job Ndugai amefanya uamuzi huo kufuatia na kauli zinazonukuliwa katika mitandao ya kijamii kwa lugha ya kimasai, kingereza na kiswahili zikiashiria dharau na kejeli kwa Bunge Tukufu.

Hivyoa ameamuru kamati maalumu iundwe ili kumuhoji kubaini ukweli na dhamira ya kauli hizo alizozitoa Sendeka.

 

 

 

 

 

 

 

Mbowe apishana na kauli za Lowassa alipokuwa Ikulu
Walimu wakuu 30 watumbuliwa

Comments

comments