Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imerudi nchini leo Alfajiri ikitokea nchini Zambia kwenye mchezo wake wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake ilikocheza na Zambia na kutoka sare ya kufungana 1-1.

Baada ya kurejea kwa timu hiyo, kaimu katibu mkuu wa TFF Kidao Wilfred alikutana na Wachezaji na benchi la ufundi kabla ya kuvunjwa kwa Kambi.

Twiga Stars imetolewa kwa jumla ya magoli 4-4.

Nusu fainali ASFC kuchezwa Aprili 20, 21
Katwila ataja sababu za kufungwa dhidi ya Simba SC