Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji wa saini kati ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Kampuni tatu.

Zoezi hilo, limefanyika Mei 17, 2023 kwa kuzihusisha kampuni hizo zikiwemo Evergreen Egypt United ya Misri , National Company for fisheries and Aqua culture, pamoja na Source link Ltd.

Aidha utiaji saini huo wa hati ya ushirikiano ni uendelezaji wa miradi ya Uvuvi na ufugaji wa mazao ya Baharini Zanzibar . Leo tarehe 17/05/2023 Ikulu, Zanzibar.

Uteuzi: Majaji wa Mahakama ya rufaa
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Mei 18, 2023