Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres, amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Covid19  kuchukuliwa kitaifa

Katika ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Twitter Guterres amesema, hakuna nchi itakuwa salama dhidi ya Virusi vya Corona hadi nchi zote zitakapokuwa salama.

Kauli hii ya Guterres inakuja baada ya nchi kadhaa zikiwemo Marekani, Uingereza na Urusi kuidhinisha chanjo za Pfizer/BioNTech, Moderna na Sputnik V ili kupambana na mlipuko.

TETESI za usajili: Pochettino aanza kazi PSG
Maalim Seif : Hakutakuwa na ubaguzi Zanzibar