Gavana wa benki kuu ya Kenya amejiunga na gavana wa benki kuu ya Uingereza na mataifa mengine kujiandaa kwa mdororo wa sarafu za mataifa yao kufuatia kauli ya Uingereza kujiondoa kwenye muungano wa Ulaya.

Gavana Patrick Njoroge kupitia kwa taarifa kwa vyombo vya habari amesema kuwa wako tayari kusaidia soko la ubadilishani wa fedha iwapo kauli hiyo ya waingereza itaathiri pakubwa sarafu ya Kenya.

Kenya ambayo ilitawaliwa na Uingereza wakati wa ukoloni inauhusiano wa karibu sana na taifa hilo

Trump Apongeza Htua za Uingereza.
Chidi Benzi Afunguka Chanzo cha Kutumia Madawa