Mgombea Raila Odinga ameshinda katika Kaunti ya Vihiga, nyumbani kwa Mkuu wa Muungano wa Kenya Kwanza (KKA) Musalia Mudavadi.

Raila Odinga na William Ruto.

Mgombea huyo wa Azimio la Umoja One Kenya alipata kura 143,371 huku William Ruto wa chama cha UDA akiibuka wa pili kwa kura 79,722.

Idadi ya kura inaonyesha Kenya Kwanza ilipata asilimia 35 ya kura zote za urais zilizopigwa katika kaunti hiyo.

UVIKO 19 waendelea kuwa tishio kwa vijana
Jeshi lawasilisha mabadiliko tozo na ukaguzi