Baraza la Habari Kenya (KCT), limesema linashauriana na Wamiliki na Wahariri wa Vyombo vya Habari, ili kutafuta suluhu ya dharura ya kuhakikisha Wakenya wanapokea matokeo yanayofanana.

Baraza hilo limeamua kuchukua hatua hizo kutokana na mkanganyiko wa matokeo unaotolewa bila kufanana na kila mtu kuchapisha matokeo yake na hivy kuleta mkanganyiko huku kupitia ukurasa wake wa Twitter ukiwekwa nakala ya chapisho juu ya azma yake.

Try Again atamba Simba SC kuiangamiza Young Africans Ngao ya Jamii
Pacha aliyebakia Muhimbili naye afariki