Msanii, Rapper wa Bongoflevani, Darassa ambaye hivi karibuni ameachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘Kama  Utanipenda’ akimshirikisha Msanii Rich Mavoko,  Sasa amekuja na ujio mpya kabisa na rasmi pamoja na kichupa (video) cha ngoma hiyo inayoenda kwa jina la ‘Too Much’ ikiyarishwa na director Hanscana.

Hii hapa uitazame sasa. #USIPITWE

Rais wa Uturuki alilaumu Kundi lililopo Marekani kwa jaribio la kumpindua
Makinda atumbua wakurugenzi 9 NHIF, mabilioni yapigwa