Kim Kardashian amethibitisha ujio wa mtoto wa nne kwenye familia yake na kanye west kwa njia ya mama mbadala yaani Surrogate.

Katika kipindi cha Watch What Happens live na mtangazaji Andy Cohen Kim pamoja na wadogo zake Kourtney na Khole ambapo waligusia masuala kadhaa ya familia.

January 3 tovuti ya TMZ imeripoti kuwa wawili hao wamechagua mwanamke  mwingine kutokana na yule wa awali kuwa na ujauzito wake mwenyewe ambae atakuwa watatu.

Mtoto huyo wa nne kwa Kanye na Kim ambae ametajwa kuwa wa kiume anatarajiwa kuzaliwa mapema mwezi Mei mwaka huu

 

Kisa cha Mbowe kuporwa ofisi yake ya ubunge
Serikali yataifisha mashamba ya kampuni ya Mohamed Enterprises

Comments

comments