Klabu ya KMC FC imetangaza hadharani orodha ya wachezaji waliowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao umepangwa kuanza Septemba 29.

KMC FC ambayo ni sehemu ya klabua mbazo zinatazamwa kama washindani wa kweli kwenye mshike mshike wa Ligi Kuu msimu wa 2021/22, imesajiliwa wachezaji 29.

Walinda Lango: Juma Kaseja, Faruk Shikhalo, Sudi Dondola na Denis Richard.

Mabeki: Andrew Vicent Chikupe, Ismail Adam Gambo, Mohamed Kassim, Abdulrazack Mohamed, Kelvin Kijiri, Hassan Khamis Ramadhan, Ally Ramadhan na Nickson Clement Kibabage.

Viungo: Jean Baptiste Mugiraneza, Masoud Abdallah Kabaye, Mohamed Samatta, Kenny Ally Mwambungu, Awesu Awesu, Abdul Hillary, Hassan Salum Kabunda, Iddi Kipagwile, Miraji Athuman, Martin Kigi na Emmanuel Mvuyekure.

Washambuliaji: Matheo Anthony, Sadalla Lipangile, Charles Ilamfia, Nassor Saadun, Hassan Kapalata na Clif Buyoya

Benchi la Ufundi: John Simkoko (Kocha Mkuu), Habibu Kondo, Hamad Ally (Makocha wasaidizi) na Fatma Omar (Kocha wa Makipa)

Marekani, Uingereza na Australia zazindua ushirikiano wa kiusalama
Chanzo cha uharibifu wa miundombinu ya barabara