Hatimaye uongozi wa Simba SC umethibitisha kuachana na Kocha Mkuu Didier Gomes, baada ya kufikia makubaliano ya pande hizo mbili.

Taarifa iliyotolewa mchana wa leo Jumanne (Oktoba 26), imeeleza kuwa, Kocha Gomes ameuomba Uongozi kuondoka klabuni hapo.

Kwa maamuzi hayo Kocha Msaidizi Hitimana Thiery na Selemani Matola amekabidhiwa jukumu la kukinoa kikosi cha Simba katika kipindi hiki cha mpito, hadi kocha Mkuu atakapotangazwa.

Marekani yasitisha msaada Sudan
Jaji mpya kesi ya kina Mbowe