Leo ni kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Dkt. Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021, katika Hospitali ya Mzena iliyopo jijini Dar es Salaam, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

John Pombe Magufuli, alikuwa ni Rais wa Tano wa Tanzania ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 61.

Alianza kazi ya kuliongoza Taifa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 umauti ulipomfika.

Kivuyo abadili upepo, aipa nafasi Young Africans
Robertinho kuifanyia UMAFIA Horoya AC