Septemba 27, 2018 rapper Lil wayne ameachia albam yake ya ‘the Carter V’  huku akisherekea siku yake ya kuzaliwa.

Ni Baada ya kimya kirefu na mifarakano ya hapa na pale na menejiment yake ambayo ilisababisha kuchelewa kwa  albamu hiyo.

Lil Wayne ameiachia album hiyo alfajiri ya kuamkia leo Septemba 28, 2018, ‘The Carter V’ ina nyimbo 23 na imehusisha wasanii wengine kama Nicki Minaj, Travis Scott, Snoop Dogg, Ashanti Mack Maine,  XXXTENTACION na wengineo.

Wayne  alika  kimya  kwa muda wa miaka 5 bila kutoa albamu huku akishilikishwa  na wanamziki  wengine.

Tangu mwaka 2014, Lil Wayne na lebo yake ya Cash Money walikuwa kwenye mvutano na kusababisha kutokuwa na maelewano hali iliyopelekea kuchelewa kwa albamu ya ”the Cater V”.

Image result for the Carter V

Breaking News: Kivuko cha MV Nyerere kikivutwa muda huu. Tazama
Hamisa: Wanaume wengi wanapenda kurogwa

Comments

comments