Huu ulikuwa ni usiku wa kihistoria Nou Camp kwa sababu kadha wa kadha – lakini moja itakayokumbukwa zaidi ni ya Lionel Mess kuichezea Barcelona mchezo wa 500.

Barcelona pia ikawaonyesha mashabiki wake waliojazana Nou Camp mataji matano waliyotwaa mwaka huu ikiwemo ya Klabu Bingwa ya Dunia kabla hawajafunga magoli yaliyovunja rekodi ya Real Madrid kwa kufikisha magoli 18o kwa mwaka mzima.

Real Madrid walikuwa wanashikilia rekodi hiyo kwa magoli 178. Messi hakukubali kusherehekea mchezo wake wa 500 bila kutikisa nyavu ambapo dakika ya 33 alifunga bao na kuifanya Barcelona iwe mbele kwa magoli 2-0 kufutia lile la kujifunga la Heiko Westermann dakika ya 29.

Heiko Westermann alijifunga katika juhudi za kuokoa mpira  sekunde chache baada ya Neymar kukosa penalti iliyogonga mwamba na mpira kurejea uwanjani na ambapo Ivan Rakitic aliukimbilia kabla hajamgonga Westermann na kujaa wavuni.

Luis Suarez naye hakubaki nyuma, akatupia wavuni mabao mawili katika dakika ya 46 na 83 na kuihakikishia ushindi Barcelona yenye kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi tatu.

BARCELONA: Bravo 6.5, Alves 7.5, Vermaelen 7, Mascherano 7, Mathieu 6.5 (Adriano 67, 7), Busquets 8.5 (Bartra 57, 6), Rakitic 7, Sergi Roberto 8 (Munir 86), Messi 9, Suarez 9.5, Neymar 9

REAL BETIS: Adan 9, Molinero 7, Bruno 6 (Pezzella 17), Westermann 6.5 (Digard 36), Vargas 7, N’Diaye 5.5, Petros 6, Cejudo 6.5, Dani Ceballos 8, Van Wolfswinkel 6, Ruben Castro 6 (Van der Vaart 75)

Lionel Messi, making his 500th appearance for Barcelona on Wednesday night, starred in his side's La Liga victory over Real BetisLionel Messi akicheza mchezo wake wa 500 kwa Barcelona Jumatano usiku katika ushindi wa La Liga dhidi ya Real Betis

Barcelona were awarded fortunate  penalty in the first half when goalkeeper Antonio Adan collided with Lionel Messi after winning the ballBarcelona walizawadiwa penalti baada ya kipa Antonio Adan kugongana na Lionel Messi wakati wakiwania mpira

Neymar missed resulting penalty but Ivan Rakitic (left) was first to react before the ball rebounded off Heiko Westermann into his own netNeymar alikosa penalti lakini Ivan Rakitic (kushoto) akawa mwepesi kuchukua hatua kabla mpira haujamgonga Heiko Westermann na kuwa bao la kujifunga

Barcelona superstar Messi wheels away to celebrate after linking up well with Neymar to score his side's second goal of the matchSupastaa wa Barcelona akikimbia kushangilia bao lake

Suarez joined in on the act just a minute after the restart to add a third goal for Barcelona in Wednesday's La Liga clashSuarez anaendelea kung’ara La Liga kwa kutupia mabao nyavuni

The 28-year-old striker added further gloss to the scoreline by doubling his tally with a right-footed finish late in the second half Suarez akiifungia Barcelona bao la nne  

Ahead of the tie, Barcelona posed with the La Liga, Copa del Rey, Champions League, European Super Cup and World Club Cup trophiesBarcelona ikipozi na mataji yake matano iliyotwaa mwaka huu – La Liga, Copa del Rey, Champions League, European Super Cup na World Club Cup

Arsene Wenger Atangaza Njaa Ya Usajili
Majogoo Wa Jiji Wajikongoja Taratibu