Tazama hapa moja kwa moja kutoka Kenya, matokeo ya kura, zitakazo amua nani Rais Kenya kati ya Kenyatta na Odinga ambapo muda huu shughuli za kuhesabu kura zinaelekea mukamilika katika kituo kikuu cha Bomas Kenya na nani ni nani kutangazwa. Aidha, wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kiongozi wa NASA na mgombea Urais, Raila Odinga ametangaza kuwa hatakubali matokeo. Bofya hapa kutazama yanayojiri muda huu

Gareth Bale Aikataa Man Utd
Jose Mourinho Amlaumu Muamuzi Gianluca Rocchi