Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akitoa hotuba mara baada ya kupokea ripoti ya mazungumzo kati ya Serikali na Barrick Gold Mine yaliyoanza takribani miezi mitatu iliyopita.

Rais Magufuli amewapongeza wale wote walioshiriki kufanikisha mazungumzo hayo, pia amewaomba watanzania kushirikiana katika shughuli zote za kulinda maliasili za nchi ambazo zimekuwa zikiibiwa.

Ujumbe mzito alioandika Zitto Kabwe kwa Tundu Lissu
Nyalandu ang'ang'ania katiba mpya