Leo Agosti 8, 2017, wananchi Kenya wanapiga kura kumchagua Rais atakaye iongoza nchi hiyo. Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya kufahamu yote yanayojiri muda huu katika zoezi la upigaji kura ambapo Rais wa sasa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndiyo wagombea wakuu wa kiti hicho. Tazama hapa

Harmonize: Hela ya show haitoshi ujenzi wa ghorofa yangu
Bombadier yampagawisha Rais Museveni