Fuatilia hapa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Urais Kenya ambapo Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) tayari imekamilisha kuhesabu kura baada ya kurudia kuhakiki matokeo hayo kufuatia mgombea urais wa NASA, Raila Odinga kukataa matokeo yaliyokuwa yakitolewa awali na tume hiyo.

IEBC imekamilisha hatua ya mwisho na hatua inayofuatia ni kutangaza matokeo hayo. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka nchini Kenya kufahamu yanayojiri muda huu

Mbaraka Yusuph Achimba Mkwara Mzito Ligi Kuu Bara
Inter MIlan Yasajili Beki Wa Kibrazil